Saturday, August 11, 2012

MASANJA MKANDAMIZAJI WAKITENGENEZA NYIMBO MPYA NA PASTOR WAMBURA....INAITWAJE WASUBIRI!..


Hizi ni picha mbalimbali zikimuonyesha Pastor Wambura akiwa na Masanja Mkandamizaji ndani ya Studio ya Nikoambayeniko jana walipokuwa wakifanya wimbo mpya ambao umetengenezwa na Produza Zakayo Shushu.Hivi sasa mashabiki wa nyimbo za Injili wasubiri mambo makubwa kutoka Nikoambayeniko studio's inayoyaanda kwa sasa.

No comments:

Post a Comment