Monday, August 6, 2012

HAYA NI MAMBO YA NIKOAMBAYENIKOSTUDIO

Huyu ni produza akiwa ndani ya Nikoambayenikostudio's
Hapa Steve Wambura ama Pastor Wambura akiwa nje ya Studio ya Nikoambayenikostudio
Studio ya Nikoambayeniko inayopatikana maeneo ya Mwananyamala na kwa sasa imeshaanza kazi na wale wanamuziki wa nyimbo za Injili wanakaribishwa sana katika studio hiyo ya kisasa kabisa.

No comments:

Post a Comment