Saturday, August 11, 2012

BAADA YA KUMALIZA KAZI NZURI MASANJA NA WAMBURA...

Hapa masanja na wambura wakiaanda kazi mpya itakayotoka muda si mrefu kuanzia sasa ndani ya studio ya Nikoambayeniko inayopatikana ndani Mwananyamara
Hapa Masanja akiwa na Wambura ndani ya studio ya Nikoambayeniko studio wakifurahi baada ya kumaliza kazi yao mpya.
Hapa Masanja akiwa na Wambura ndani ya studio ya Nikoambayeniko studio wakifurahi baada ya kumaliza kazi yao mpya.
Wambura akiwa ndani ya studio ya Nikoambayeniko studio
Hapa Masanja akiwa na Wambura ndani ya studio ya Nikoambayeniko studio baada ya kumaliza kufanya wimbo mpya ambao umeendaliwa na studio hiyo.

No comments:

Post a Comment